Donald Trump anaamini kuwa alifanya vizuri kwenye mdahalo wa kwanza
dhidi ya Hillary Clinton – lakini kura zinasema tofauti, hata wasaidizi
wake pia wanaamini kuwa alikula za uso!
Kinampa hasira kuona kuwa wasaidizi na washauri wake wanakubali
maneno ya vyombo vya habari kuwa hakufanya vyema kwenye mdahalo huo, kwa
mujibu wa CNN.
Wasaidizi wake walimshauri abadilishe namna anavyojiandaa kwenye mdahalo ujao lakini hataki kusikia lolote.
Trump anataka wafuasi wake wamtetee kwa anachokifanya na amekataa
kukubali kuwa alifanya vibaya licha ya kura kuonesha kuwa Clinton
alipata asilimia zaidi ya 60 huku yeye akicheza kwenye 27 tu.
Wagombea hao wa Urais wa Marekani watakutana kwenye mdahalo wa pili October 9.
Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play
EmoticonEmoticon