Mtoto anapozaliwa kuna vitu vingi anatakiwa kufanyiwa ili apevuke vizuri
na nimekutana na hili moja kati ya hayo ambalo nsingependa likupite mtu
wangu, Kituo cha habari cha Kenya ‘Citizen’ kimeripoti kuwa ukandaji wa
mtoto mdogo unamanufaa mengi ambayo yametajwa kama kumtuliza mtoto,
kumsaidia kuimarisha viungo vyake na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga.
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
EmoticonEmoticon