Wednesday, September 21, 2016

Msanii TID Ajisifu Kumkaza Wema Sepetu Akiwa Jukwaani..Mashabiki Nusura Wazire

Tags

  Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu kitendo ambacho kilifanya baadhi ya mashabiki kujisikia vibaya na kuanza kumzomea
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo


EmoticonEmoticon