Tuesday, September 20, 2016

PICHA Miss anayetajwa kuwa ni mpenzi mpya wa Ronaldo

Tags

 
Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo Septemba 19 2016 ameingia kwenye headlines na miss wa zamani wa Hispania  Desire Cordero, staa huyo ambaye amewahi kushinda tuzo tatu za Ballon d’Or ameandika na jarida la Corazon kuwa wapo katika mahusiano na  Desire Cordero kama mwezi mmoja sasa.
 
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
 
Taarifa hiyo ambayo inaeleza kuwa Ronaldo aliwasiliana na  Desire Cordero kupitia instagram kiasi cha mrembo huyo kwenda katika jiji la Madrid kukutana na Ronaldo,  kama taarifa hizo zitakuwa ni kweli Ronaldo ndio atakuwa anarudi katika mahusiano rasmi baada ya kuachana na Iryn Shayk.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Ronaldo amewahi kuripotiwa toka awe maarufu kuwa katika mahusiano na wasichana zaidi ya 15 kwa nyakati tofauti. HAPA
 


EmoticonEmoticon