Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa
kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati
akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City.
Mtu huyo alifanikiwa kumvaa Zlatan na kusababisha watu kuangua kicheko wakiwemo wachezaji wa Man United waliokuwa benchi.
Mwisho, walinzi walimuwahi mtu huyo na kumuondoa katika eneo la uwanja.
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
EmoticonEmoticon