Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz
‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo.
Diamond alipost video instagram inayomwonyesha mwigizaji huyo akiimba
wimbo ‘Salome’ huku akiandika ujumbe wa kuonyesha kufurahishwa na
kitendo hicho.
“Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini?. Tisha sana ‘Salome’ wake Idris
Sultan full Video link in my BIO and @rayvanny Bio,” aliandika Diamond
kupitia instagram.
Hatua hiyo huwenda ikafungua njia zaidi kwa wawili hao kuaidia katika mambo yao.
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
EmoticonEmoticon