Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii
ni baada ya mama Diamond kum-wish malkia huyo wa filamu huku akimkaushia
Zari ambaye ni mama watoto wa Diamond.
Pia dada zake na Diamond walim-wish maklia huyo.
Baada ya kupokea salamu za watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya
dunia malkia huyo wa filamu na yeye aliamua kuwashurudu huku akionyesha
kile ambacho hakukitarajia.
Wema kupitia istagram aliandika:
Wow… wow… wow… daah.. sijui cha kuandika.. am just out of words… Wema
mimi nitamlipa nini Mungu kwa Neema na Baraka zake anazonijalia kila
siku…?? Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa mumumu wangu, My
family, my management, teamkazi wale kwa kufungua dimba last Night with
that amazing suprise… alafu sasa huku insta, snapchat, twitter and kila
site ambazo mmepost about My birthday nashindwa cha kusema.. toka
nimeamka najitahidi kujibu kila post ninazoziona.. ila zinanielemea… ila
ninajitahidi, nitajitahidi na nitahakikisha najibu Kila ambayo nakutana
nayo… ila Daaah You Guys mnajua kupenda.. mpaka najiogopa kwa mapenzi
mnayonipa.. what should i say?? Wakwe vepe?? Mawifi je?? Wake wenza nao
ndani? Boyfriends
nacheka peke yangu….. And sometyms hadi machozi ya furaha yananitoka…
Nimekuwa Cry baby wa kujitegemea tokea saa sita usiku…. Na nadhani zoezi
litaendelea mpaka siku hii iishe…. Nawapenda jamani… #AmaBeBack
Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play
EmoticonEmoticon