Wednesday, September 21, 2016

Zari Hassan wa Diamond Awachana Wabongo Wasioelewa Lugha ya Kizungu….Is English The Problem !

Tags


Zari wa Diamond Awachokonoa Tena Watanzania…Andika Maneno yafuatayo kwenye picha;
Baadhi ya Comments za Wabongo baada ya post hiyo ya Zari Hizi Hapa chini;
angiielly 
Uande hukoo kama hatujui English si arid kwao wanakoangea English stupid kabisaaa….. Nashangaa mijitu inamsupport huyu mkimbizi kwel kuna mijitu bado mikolon
angeljohn__
Hihihi tatizo Nyerere dah tungekuwa tunamwaga ung’eng’e na cc
doro_cute3 
Awache kupotezea story za DNA, we want to see or else take tiffa to katunzi
ma_fusa_de_beauty 
@zarithebosslady wew n nyoko boss wng sio kwa kauli io panic at your own risk haha salute
kisuramie
Chezea lugha ilokuja kwa majahazi@olivermakundi wifi kaamua now dayz c kwa kutushushua huku
catyfranco19
 thanx to those kwonz english en not kiswakinge 4h
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo


EmoticonEmoticon