Leo October 2 ndo siku aliozaliwa Naseeb Abdul Juma ukipenda muite
Diamond Platinumz huyu ndo icon wa mziki wa Tanzania na ni moja ya watu
aliofanya mziki wetu sasa ivi unapigwa kwny channel za kimataifa na
baadhi ya wasanii wanapata nomination zao za kwanza katika izo tuzo
licha ya kuwepo kwenye game kabla ya Diamond,
Ni Diamond huyu huyu ndie inspiration kwa vijana na watoto wa Tanzania
waliokataliwa na baba zao kulelewa na mama tu ila wakaja kutusua
kimaisha ivyo pia kutoa fundisho mtoto hakataliwi hasa kwa wanaume
wanapenda kukana mimba na pia amethibitisha kuwa unaweza usiwe na elimu
kubwa ila ukafanikiwa kimaisha kupitia kipaji chako na ikumbukwe hamna
aliezaliwa hapa duniani bila kipaji.
Happy birthday Naseeb Abdul Juma, (Diamond Platinumz) uishi miaka mingi
na heri duniani na uendelezee moyo wa kuwasaidia wasanii wenzako kufika
level iyo na kutoa ajira kwa vijana wa kitanzania kupitia lebel yako na
kampuni yako WCB
Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play
EmoticonEmoticon