Wakuu kuna habari zinasambaa mitandaoni kuwa kuna Maafisa wa Taasisi ya
Kilimo ya Seliani iliyopo Mkoani Arusha wameuawa na wanakijiji wa Mvumi.
Kukatokea kutokuelewana kati ya maafisa hao na wanakijiji,kiasi cha maafisa hao kuchomwa moto wao na gari lao. Picha zinatisha.
Wanakijiji wa Mvumi Wilaya ya Chamwino ndio wamechoma gari ya serikali na kuchoma maafisa wa serikali wakiwa ktk majukumu yao.
Watu 35 tayari mbaroni wakiwemo viongozi wa kijiji.
Waziri wa mambo ya ndani aliposema ugaidi haijaingia tanzania, hii maana yake nini? Ama magaidi wanatoka maeneo gani hasa?
Gaidi huzaliwa ndani ya nchi husika. Sasa tukio hili ni ugaidi tosha.
Usisubiri alshabab ama bokoharamu, matukio kama haya ni ugaidi tosha.
Note picha za waliochomwa zinatisha sana
Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play
EmoticonEmoticon