Papa Francis ambaye anafanya ziara yake nchini Georgia ameongoza
ibada ya misa ambayo ilihudhuriwa na watu wachache mno, baada ya
viongozi wa kanisa la Orthodox kuwataka waumini wao kutoshiriki katika
ibada ya wakatoliki.
Ujumbe kutoka kanisa hilo la Orthodox ulitarajiwa kuhudhuria ibada hiyo, japo hawakuhudhuria.
Wakati
papa francis aliwasili nchini Georgia alilakiwa na waandamanaji
wachache wa kanisa la Orthodox, waliokuwa wakiituhumu Vatican kuwa
mnyanyasaji wa kidini.
Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play Watch full video Down crick watch video or download Video for free and start watch full video now HD video play
EmoticonEmoticon