,
LULU Michael Atangaza Kuhitaji Kupata Mtoto.... - mautamutamu
Home
Ubuyuu
LULU Michael Atangaza Kuhitaji Kupata Mtoto....
LULU Michael Atangaza Kuhitaji Kupata Mtoto....
Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.
Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram
akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji
mtoto.
“Okay…I’m ready noooow😫😫😫😫and I want a Baby Boy😭😭😫In Jesus Name🙏,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.
Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
EmoticonEmoticon