,
Tegeta Escrow: TANESCO Yashindwa Kesi Dhidi ya IPTL...Yaamriwa Kulipa Zaidi ya Sh. Bilioni 320 - mautamutamu
Home
Ubuyuu
Tegeta Escrow: TANESCO Yashindwa Kesi Dhidi ya IPTL...Yaamriwa Kulipa Zaidi ya Sh. Bilioni 320
Tegeta Escrow: TANESCO Yashindwa Kesi Dhidi ya IPTL...Yaamriwa Kulipa Zaidi ya Sh. Bilioni 320
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank
tribunal (international centre for settlement of investment disputes.
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB
HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
EmoticonEmoticon