Rais John Magufuli amekutana na balozi wa Korea Kusini Ikulu Dar, Rais
amesema kampuni ya Kikorea inayofanya Designing ipo hatua za mwisho na
itatangaza tenda hivi karibuni na ujenzi wake unatarajia kuanza mwezi wa
Juni 2017.
Daraja hilo litakuwa na urefu wa km 7 na km 1,4 zitajuwa ndani ya bahari
kusaidia kupunguza foleni fedha hizo zimetolewa na Exim ya Korea Kusini
Magufuli pia ameema ana mpango wa kumteua balozi akaiwakilishe Tanzania Korea Kusini kwa kuwa ni marafiki.
Pia wamezungumzia ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria ambapo wakorea hao
watawatuma watalaamu wao kufanya ukaguzi, ujenzi wa meli upo kwenye
bajeti ya serikali.
Angali video hii kwa umakini kabisa bonyeza ilo bango chini kisha subir dakika 1 video itatokea utaiona yote kisha itafutika hapo hapo
EmoticonEmoticon